HudumaTovuti na programu
Tovuti mara nyingi ndiyo kitu cha kwanza mteja anachoona kuhusu biashara yako. Shivo Labs husanifu na kujenga tovuti na programu za mtandaoni jijini Dar es Salaam ambazo zinafunguka haraka kwenye simu yoyote na mtandao wowote, zinasomeka vizuri kwa Kiingereza na Kiswahili, na zimeandaliwa kupatikana Google na kwenye wasaidizi wa AI kama ChatGPT na Claude.
Unachopata
- 01Tovuti za kampuni, kurasa za matangazo na katalogi za bidhaa mtandaoni
- 02Programu za mtandaoni: kuweka nafasi, kuagiza, tovuti za wateja na zana za ndani
- 03Tovuti kwa Kiingereza, Kiswahili au zote mbili
- 04Maandalizi ya kupatikana kwenye utafutaji tangu siku ya kwanza: Google Search Console, Bing, vichwa vya kurasa na muhtasari unaosomeka na AI
- 05Kusajili domain, hosting na barua pepe za biashara (.co.tz, .com na nyingine)
- 06Marekebisho na msaada baada ya kuzindua
Ni kwa ajili ya nani
- 01Kampuni zinazohitaji tovuti iliyo wazi na ya kuaminika
- 02Maduka na chapa zinazotaka wateja waangalie bidhaa mtandaoni
- 03Makundi ya kampuni yanayotaka tovuti moja kwa biashara zao zote
Jinsi inavyofanya kazi
- 01
Mazungumzo
Mazungumzo ya kwanza kuhusu biashara yako, wateja wako na kile tovuti inapaswa kufanya.
- 02
Mpango
Kurasa, maneno na muonekano, vinakubaliwa kwa maandishi pamoja na bei na muda kamili.
- 03
Kujenga
Kusanifu na kujenga, na unaweza kuangalia hatua kwa hatua kwenye simu yako.
- 04
Kuzindua
Tovuti inaingia hewani kwenye domain yako, tunaiunganisha na Google na Bing, na unakabidhiwa kila kitu ambacho ni mali yako.
Kazi zetu
- Websites
Oracle Consultancy Group
The website for Oracle Consultancy Group of Companies: ten companies across FMCG, manufacturing, supply chain and mining services in Tanzania, India and the UAE, supported by one team for operations, HR, accounting and recruitment.
Angalia mradi - Websites
TerraGreen
Terra Green imports, distributes and markets premium fresh fruit and produce from growing regions around the world, supplying supermarkets, hotels, restaurants and wholesalers across Tanzania.
Angalia mradi - Websites
CocoZuri
CocoZuri Chocolat makes artisanal chocolate in small batches in Dar es Salaam: Belgian couverture with Tanzanian fruit, spice and nuts, tempered, filled and finished by hand in Masaki.
Angalia mradi - Websites
V1 Supermarket
V1 Supermarket, a neighbourhood supermarket in Kisutu, Dar es Salaam, as a 3D store: the site opens on a landing page, then moves into the shop itself, where customers can explore and search the products on its shelves.
Angalia mradi
Huduma nyingine
Mifumo maalum ya biashara
Mifumo ya biashara iliyojengwa kulingana na jinsi kampuni yako inavyofanya kazi: kazi, nyaraka, vibali, stoo na ripoti mahali pamoja.
SomaAkili bandia (AI) na otomatiki
AI na otomatiki zinazookoa saa nyingi za timu yako kila wiki: ripoti, majibu, kuingiza taarifa na nyaraka vinafanyika vyenyewe.
SomaChapa, maudhui na mitandao ya kijamii
Utambulisho wa chapa, picha, mabango na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayoonyesha ubora halisi wa biashara.
Soma